Submission
Quran
The Final Testament in 33 languages, with its appendices
Practices
Prayer times and how to pray, Zakat, Fasting and Hajj
Qiblah
The direction to face in prayer, on a compass, a map or satellite view
Media
Quran studies & recitation, videos and songs glorifying God alone
Publications
Books, the Perspectives archive and topics, to read and search
Studies
Live Quran studies with Submitters: join a session and its chat
Community
Messages and video calls with fellow Submitters around the world
Calculator
Check whether a number or Arabic text is a multiple of 19
World Practices
Prayer and fasting times for any city in the world

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Sura 94: Kupoa Hasira (Al-Sharrhh) — Visomo na usomaji wa Quran

Sura 94: Cooling the Temper (Al-Sharrhh) | English Quran with Background Music

YouTube · 0:46

Sura 94: Kupoa Hasira (Al-Sharrhh)

[94:1] Je hatukupoa hasira yako?

[94:2] Na tukapakua mzigo wako (wa dhambi).

[94:3] Moja ambayo ililemea mgongo wako.

[94:4] Tumekuweka katika nafasi ya heshima.

[94:5] Kwa maumivu kuna faida.

[94:6] Kweli, kwa maumivu kuna faida.

[94:7] Kadiri uwezavyo, jitahidi daima.

Kurani: Agano la Mwisho — Sura 94