Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 87:15 — Mwenyezi Mungu (Al-A`alaa)

Kwa kukumbuka jina la Mola wake na kutekeleza sala za mawasiliano (Salat).

[87:14] Mafanikio ya kweli ni yule anayekomboa roho yake.

[87:16] Kweli, wewe umejishughulisha na maisha haya ya kwanza.