Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 26:1 — Washairi (Al-Shu`ara')

T. S. M.

[26:0] Kwa jina la Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu.

[26:2] Hizi (barua) ni ushahidi wa maandiko haya yanayoeleza.