Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 26:75 — Washairi (Al-Shu`ara')

Ali sema, "Je, unaona hivi vinyago unavyoviabudu?"

[26:74] Walisema, "La; lakini tulikuta wazazi wetu wakifanya hivi."

[26:76] "Wewe na mababu zako."