Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 40:1 — Msamehevu (Ghafer)

H. M.*

[40:0] Kwa jina la Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu.

[40:2] Ufunuo huu wa maandiko unatoka kwa MUNGU, Mwenyezi, Mjuzi wa yote.