Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 41:1 — Maelezo (Fussilat)

H. M.*

[41:0] Kwa jina la Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu.

[41:2] Ufunuo kutoka kwa Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu.