Kurani 6:0 — Mifugo (Al-An'am)
بِسمِ اللَّهِ الرَّحمٰنِ الرَّحيمِ
Kwa jina la Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu.
[6:1] Sifa ziwe kwa MUNGU, ambaye aliumba mbingu na ardhi, na akafanya giza na mwanga. Hata hivyo, wale wasiomwamini Bwana wao wanaendelea kupotea.