Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 85:8 — Majimbo ya Nyota (Al-Burooj)

Walichukia kwa sababu moja tu ya kuamini katika MUNGU, Mwenyezi, Mwenye Sifa.

[85:7] Kuona wakristo wakichomwa moto.

[85:9] Ufalme wa mbingu na ardhi ni wake Yeye. Na MUNGU anashuhudia vitu vyote.