Sura 74: Siri Ilifichika (Al-Muddath-thir) — Visomo na usomaji wa Quran
YouTube · 3:58
Sura 74: Siri Ilifichika (Al-Muddath-thir)
[74:1] Ewe siri iliyofichika.*
[74:2] Toka nje na onya.
[74:3] Msifu Bwana wako.
[74:4] Safisha vazi lako.*
[74:5] Acha kilicho kibaya.
[74:6] Ridhika na kile ulicho nacho.
[74:7] Kumbuka kwa uthabiti Bwana wako.
