Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 15:69 — Bonde la Al-Hijr (Al-Hijr)

"Muogope MUNGU, wala usinitie aibu."

[15:68] Alisema, "Hawa ni wageni wangu; tafadhali usinifedheheshe."

[15:70] Walisema, "Hatukuwaagiza msiwasiliane na yeyote?"