Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 19:66 — Mary (Maryam)

Binadamu anauliza, "Baada ya kufa, je, naishi tena?"

[19:65] Bwana wa mbingu na dunia, na kila kilichoko kati yake; mmsujudie Yeye na endeleeni kudumu katika kumwabudu Yeye. Je, unajua yeyote anayemlinganisha Naye?

[19:67] Je, binadamu amesahau kwamba tulimwumba tayari, na alikuwa hana kitu?