Kurani 20:101 — T.H. (Ta Ha)
Milele watakaa humo; ni mzigo wa kusikitisha sana Siku ya Kiyama!
[20:100] Wale wanaoipuuza watachukua mzigo (wa dhambi) Siku ya Kiyama.
[20:102] Hiyo ndiyo siku ambayo baragumu itapulizwa, na tutawaita wenye hatia siku hiyo wakiwa wekundu.