Kurani 20:117 — T.H. (Ta Ha)
Tulipo sema, "Ewe Adamu, huyu ni adui yako na mke wako. Usiruhusu akufukuze kutoka Peponi, usije ukawa na huzuni.
[20:116] Kumbuka tulipowaambia malaika, "Jitupeni kifudifudi mbele ya Adam." Walijitupa kifudifudi isipokuwa Shetani; alikataa.
[20:118] "Umeahidiwa kamwe hutakosa chakula humo, wala hutakuwa bila makazi."