Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 20:43 — T.H. (Ta Ha)

"Nenda kwa Farao, kwa sababu amevuka mipaka."

[20:42] "Nenda na ndugu yako, ukiwa unathibitishwa na ishara Zangu, na usiteleze katika kunifuata Mimi."

[20:44] "Msikilize kwa upole; huenda akazingatia, au akawa mcha Mungu."