Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 20:45 — T.H. (Ta Ha)

Walisema, "Mola wetu, tunahofia asitushambulie au atukiuke."

[20:44] "Msikilize kwa upole; huenda akazingatia, au akawa mcha Mungu."

[20:46] Ali sema, "Usiogope, kwa maana nitakuwa pamoja nawe, nikisikiliza na nikiangalia."