Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 25:68 — Kitabu cha Sheria (Al-Furqan)

Hawamwabudu Mungu yeyote mwingine pamoja na Mwenyezi Mungu, wala hawauwi nafsi aliyoifanya Mwenyezi Mungu kuwa ni haramu isipokuwa kwa haki. Wala hawazini. Na atakayefanya hayo atapata adhabu.

[25:67] Wakati wanapotoa, hawana ubadhirifu wala choyo; wanatoa kwa wastani.

[25:69] Malipo yao yatakuwa maradufu Siku ya Kiyama, na watadumu humo wakiwa wamefedheheka.