Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 26:89 — Washairi (Al-Shu`ara')

Ni wale tu wanaomjia MUNGU kwa moyo wao wote (wataokolewa).

[26:88] Huo ndio siku ambayo wala pesa wala watoto hawawezi kusaidia.

[26:90] Peponi itawasilishwa kwa wenye haki.