Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 3:60 — Waamramu (Ali-'Imran)

Hii ni kweli kutoka kwa Mola wako; usiwe na shaka yoyote.

[3:59] Mfano wa Yesu, kuhusiana na MUNGU, ni sawa na ule wa Adamu; Alimuumba kutokana na vumbi, kisha akamwambia, "Kuwa," na akawa.

[3:61] Kama yeyote atakushindikiza, licha ya maarifa uliyopokea, basi sema, "Hebu tuiteni watoto wetu na watoto wenu, wanawake wetu na wanawake wenu, sisi na ninyi, kisha tuombe laana ya MUNGU juu ya waongo."