Kurani 34:28 — Sheba (Saba')
Tumekutuma (Ewe Rashad) kwa watu wote, ukiwa mbeba habari njema pamoja na muonyaji, lakini watu wengi hawajui.
[34:27] Sema, "Nionyeshe sanamu zile mlioziweka washirika pamoja naye!" Sema, "La; Yeye ndiye MUNGU mmoja, Mwenye nguvu, Mwenye hikima zaidi."
[34:29] Wanapinga, "Lini ahadi hii itatimia, ikiwa wewe ni mkweli?"