Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 34:27 — Sheba (Saba')

Sema, "Nionyeshe sanamu zile mlioziweka washirika pamoja naye!" Sema, "La; Yeye ndiye MUNGU mmoja, Mwenye nguvu, Mwenye hikima zaidi."

[34:26] Mwambie, "Mola wetu atatukusanya sote mbele yake, kisha atahukumu kati yetu kwa uadilifu. Yeye ndiye Hakimu, Mjuzi wa yote."

[34:28] Tumekutuma (Ewe Rashad) kwa watu wote, ukiwa mbeba habari njema pamoja na muonyaji, lakini watu wengi hawajui.