Kurani 37:141 — Wapangaji (Al-Saffat)
Alifanya uasi na hivyo basi, akajiunga na waliopoteza.
[37:140] Alihepa kwenda kwenye meli iliyokuwa imejaa.
[37:142] Kwa hivyo, samaki akammeza, naye ndiye aliyekuwa na kosa.
Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33