Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 38:73 — S (Saad)

Malaika wote walijitupa chini,

[38:72] "Nilipomuumba na kumpulizia roho yangu, mtajiinamia mbele yake."

[38:74] Isipokuwa Shetani; alikataa, na alikuwa mwenye kiburi, asiyejua kuthamini.