Kurani 39:69 — Makutano (Al-Zumar)
وَأَشرَقَتِ الأَرضُ بِنورِ رَبِّها وَوُضِعَ الكِتٰبُ وَجِا۟يءَ بِالنَّبِيّۦنَ وَالشُّهَداءِ وَقُضِىَ بَينَهُم بِالحَقِّ وَهُم لا يُظلَمونَ
Kisha ardhi itang'aa kwa mwanga wa Bwana wake. Kumbukumbu itatangazwa, na manabii na mashahidi wataletwa mbele. Kila mtu atahukumiwa kwa haki, bila chembe ya dhuluma.
[39:68] Baragumu litapulizwa, wakati huo kila mtu mbinguni na duniani atapigwa bumbuwazi, isipokuwa wale watakaookolewa na MUNGU. Kisha litapulizwa tena, wakati huo wote watainuka, wakiangalia.
[39:70] Kila nafsi italipwa kwa kile ilichofanya, kwani Yeye anajua kabisa kila kitu walichofanya.