Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 39:75 — Makutano (Al-Zumar)

Utawaona malaika wakiwa wanazunguka kiti cha enzi, wakimtukuza na kumsifu Bwana wao. Baada ya hukumu ya haki kutolewa kwa wote, itatangazwa: "Sifa iwe kwa MUNGU, Bwana wa ulimwengu."

[39:74] Watasema, "Sifa iwe kwa MUNGU, ambaye ameitimiza ahadi yake kwetu, na kutufanya tuurithi ulimwengu, tukifurahia Pepo kama tunavyotaka." Ni malipo mazuri sana kwa wafanyikazi!