Kurani 42:37 — Mkutano (Al-Shoora)
Wanajiepusha na dhambi kubwa na maovu, na wanapokasirika wanapenda kusamehe.
[42:36] Cho chote unachopewa ni kitu cha muda tu katika maisha haya. Kile MUNGU anamiliki ni bora zaidi na cha milele, kwa wale wanaoamini na kumtumaini Bwana wao.
[42:38] Wao hujibu mwito wa Mola wao kwa kutekeleza Sala. Mambo yao hupangwa baada ya mashauriano kati yao wenyewe, na kutoka katika riziki tunayowapa, hutoa (kwa sadaka).