Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 46:31 — Mchanga (Al-Ahqaf)

"Enyi watu wetu, itikieni mwito wa MUNGU, na muamini Kwake. Atawasamehe dhambi zenu, na kuwaepusha na adhabu chungu."

[46:30] Walieleza, "Enyi watu wetu, tumesikia kitabu kilichoteremshwa baada ya Musa, na kithibitisha maandiko ya awali. Kinamwongoza mtu kwenye ukweli; kwenye njia sahihi."

[46:32] Wale ambao hushindwa kuitikia mwito wa MUNGU hawawezi kukwepa, na hawatakuwa na Bwana mwingine isipokuwa Yeye; wamepotea sana.