Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 50:27 — Q (Qaf)

Rafiki yake akasema, "Mola wetu, sikumkosesha; alikuwa amepotea sana."

[50:26] Aliweka pamoja na MUNGU mwingine kuwa mungu. Mtupie adhabu kali.

[50:28] Ali sema, "Msiwe na ugomvi mbele yangu; nimewaonya vya kutosha.