Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 56:10 — Kilichojitokeza (Al-Waaqe'ah)

Kisha kuna wale bora kabisa miongoni mwa bora.

[56:9] Wale wanaostahili mateso watakuwa katika mateso.

[56:11] Wao ndio wale watakaokuwa karibu zaidi (na Mungu).