Kurani 64:18 — Kulaumiana (Al-Taghaabun)
Mwenye kujua siri zote na matangazo; Mwenyezi, Mwenye Hekima Zaidi.
[64:17] Ukimkopesha MUNGU mkopo wa haki, Atazidisha thawabu maradufu kwako, na kusamehe dhambi zako. MUNGU ni Mwenye kushukuru, Mwenye kurehemu.