Kurani 64:3 — Kulaumiana (Al-Taghaabun)
Aliumba mbingu na dunia kwa lengo maalum, alikudesign na kukamilisha ubunifu wako, na mwisho wa siku utarejea kwake.
[64:2] Yeye ndiye aliye kuumba, kisha miongoni mwenu kuna mkatae, na miongoni mwenu kuna aamini. MUNGU ni Mwenye kuona kikamilifu kila unachofanya.
[64:4] Anajua kila kitu mbinguni na duniani, na anajua kila unachoficha na kila unachokitangaza. MUNGU anajua kabisa mawazo ya ndani kabisa.