Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 68:1 — Kalamu (Al-Qalam)

NuN, kalamu, na wanavyoandika.*

[68:0] Kwa jina la Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu.

[68:2] Umebarikiwa sana na Bwana wako; wewe si wazimu.