Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 83:17 — Wadanganyifu (Al-Mutaffifeen)

Wataambiwa, "Hili ndilo mliokuwa mkiyakanusha."

[83:16] Kisha wataarushwa Motoni.

[83:18] Kwa hakika, kitabu cha wenye haki kitakuwa katika 'Elleyyeen.