Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Sura 2: Ng'ombe (Al-Baqarah) — Visomo na usomaji wa Quran

Sura 2, the Heifer (Al-Baqarah)

YouTube · 1:25:34

Sura 2: Ng'ombe (Al-Baqarah)

[2:1] A.L.M.

[2:2] Maandiko haya ni sahihi; taa kwa wenye haki;

[2:3] wanaoamini yasiyoonekana, hushika Sala, na katika riziki yetu kwao, hutoa sadaka.

[2:4] Na wanaamini yale yaliyoteremshwa kwako, na yale yaliyoteremshwa kabla yako, na kuhusu Akhera, wana uhakika kamili.

[2:5] Hawa waniongozwa na Mola wao; hawa ndio washindi.

[2:6] Kwa wale ambao hawana imani, ni sawa kwao; uwawaonye au usiwaonye, hawawezi kuamini.

[2:7] MUNGU huwafunga akili zao na kusikia kwao, na macho yao hufunikwa. Wamepatwa na adhabu kali.

Kurani: Agano la Mwisho — Sura 2