Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 10:39 — Yunus (Yunus)

Kweli, wameikataa hii bila kuisoma na kuichunguza, na kabla ya kuielewa. Vivyo hivyo walivyofanya wale waliokuwa kabla yao kukanusha. Kwa hivyo, chukua tahadhari ya matokeo kwa wapitao mipaka.

[10:38] Ukiambiwa, "Alizua hayo," sema, "Basi leta sura moja kama hizi, na iteni yeyote mnayemtaka, isipokuwa Mwenyezi Mungu, ikiwa mnasema kweli."

[10:40] Baadhi yao wanaamini (katika maandiko haya), wakati wengine wanakataa kuamini. Mola wako anajua kabisa wale wafanyao maovu.