Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 10:80 — Yunus (Yunus)

Wakati wachawi walipofika, Musa aliwaambia, "Tupeni chochote mtakachotupa."

[10:79] Firauni akasema, "Nileteeni kila mchawi mwenye uzoefu."

[10:81] Waliporusha, Musa akasema, "Mlioleta ni uchawi, na MUNGU ataufelisha. MUNGU hasaidii kazi za wakosaji."