Kurani 11:116 — Hud (Hud)
Kama tu baadhi ya wale miongoni mwa vizazi vilivyopita wangalikuwa na akili ya kutosha kuzuia uovu! Ni wachache tu kati yao walistahili kuokolewa na sisi. Kuhusiana na wakosaji, walikuwa wakishughulika na anasa zao za kimwili; walikuwa na hatia.
[11:115] Utastahimili kwa uthabiti, maana MUNGU kamwe haachi kuwalipa wenye haki.
[11:117] Bwana wako kamwe haangamizi jamii yoyote kwa dhuluma, ilhali watu wake ni wenye haki.