Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 12:107 — Yusuf

Je wamehakikishiwa kwamba kisasi kikali kutoka kwa MUNGU hakitawapata, au Saa haitawajia ghafla, wanapoitarajia kwa kutojua?

[12:106] Wengi wa wanaoamini MUNGU hawafanyi hivyo bila kujihusisha na ibada ya sanamu.

[12:108] Hii ndiyo njia yangu: Ninamwalika MUNGU, kwa msingi wa ithibati wazi, na vivyo hivyo wanionao. MUNGU apewe utukufu. Mimi siabudu sanamu.