Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 12:85 — Yusuf

Walimwambia, "Kwa MUNGU, utaendelea kuhuzunika kwa ajili ya Yusufu mpaka ugonjwa ukupate, au mpaka ufe."

[12:84] Aliwageukia akisema, "Ninaomboleza kwa ajili ya Yusufu." Macho yake yaligeuka meupe kwa huzuni nyingi; alikuwa na huzuni ya kweli.

[12:86] Alisema, "Nalalamika tu kwa MUNGU kuhusu shida yangu na huzuni, maana najua kutoka kwa MUNGU mambo ambayo hamjui."