Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 13:43 — Radi (Al-Ra`ad)

Wale waliokufuru watasema, "Wewe si mjumbe!" Sema, "MUNGU anatosha kuwa shahidi kati yangu na nyinyi, na wale wanaomiliki elimu ya maandiko."

[13:42] Wengine kabla yao walipanga mipango, lakini MUNGU ndiye mwenye kupanga mipango ya mwisho. Anajua kila mtu anafanya nini. Wasiokuwa na imani watagundua ni nani washindi wa mwisho.