Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 14:42 — Ibrahim

Usiwahi kufikiri kwamba MUNGU hajui wanachofanya wakosaji. Yeye tu huwapa muda mpaka siku ambapo macho yatakuwa yakitazama kwa hofu.

[14:41] "Mola wangu, nisamehe mimi na wazazi wangu, na waumini, siku ambayo hisabu itafanyika."

[14:43] Wakati wanapokuwa wanakimbia (kutoka makaburini), nyuso zao zitakuwa zikiangalia juu, macho yao hata hayatafumba, na akili zao zitakuwa zimejaa hofu.