Kurani 15:33 — Bonde la Al-Hijr (Al-Hijr)
Aliyasema, "Mimi siwezi kuinama mbele ya binadamu, uliyemuumba kutokana na udongo uliozeeka, kama udongo wa mfinyanzi."
[15:32] Ali sema, "Ewe Iblis (Shetani), kwa nini hauko pamoja na wanao sujudu?"
[15:34] Alisema, "Hivyo basi, lazima utoke; umefukuzwa."