Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 16:103 — Nyuki (Al-Nahl)

Tuna fahamu kabisa kwamba wanasema, "Mtu anamfundisha!" Ulimi wa chanzo wanachokimaanisha si wa Kiarabu, na huu ni ulimi wa Kiarabu kamili.

[16:102] Roho Mtakatifu ameileta kutoka kwa Bwana wako, kwa ukweli, ili kuthibitisha wale wanaoamini, na kutoa mwanga na habari njema kwa wanaojisalimisha.

[16:104] Hakika, wale wasioamini katika maandiko ya MUNGU, MUNGU hawaongozi. Wamejipatia adhabu chungu.