Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 16:117 — Nyuki (Al-Nahl)

Wanafurahia kwa muda mfupi, kisha huteseka kisasi chenye maumivu makali.

[16:116] Hamna ruhusa kusema uongo kwa vinywa vyenu mkisema: "Hili ni halali, na hili ni haramu," kutunga uongo na kuutolea Mwenyezi Mungu. Hakika, wale wanaotunga uongo na kuutolea Mwenyezi Mungu hawatofanikiwa kamwe.

[16:118] Kwa Wayahudi, tulikataza yale tuliyokuelezea hapo awali.* Sio sisi tuliowakosea; wao ndio waliojikosea wenyewe.