Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 17:95 — Watoto wa Israeli (Bani Israeli)

"Kama dunia ingekuwa imejaa malaika, tunge mtuma kwao mjumbe malaika kutoka mbinguni."

[17:94] Kile kilichowazuia watu wasiamini wakati mwongozo ulipowafikia ni kauli yao, "Je! Mungu amemtuma binadamu kama mjumbe?"

[17:96] Mungu anatosha kama shahidi kati yangu na wewe. Yeye ni Mjuzi kamili wa waja Wake, Mwenye kuona.