Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 18:24 — Pango (Al-Kahf)

bila kusema, "MUNGU akipenda."* Ikiwa utasahau kufanya hivi, lazima ukumbuke mara moja Bwana wako na useme, "Mungu wangu aniongoze nifanye vyema wakati ujao."

[18:23] Hutopaswa kusema kwamba utafanya lolote hapo baadaye,

[18:25] Walibaki kwenye pango lao miaka mia tatu, wakiongezeka kwa tisa.