Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 2:108 — Ng'ombe (Al-Baqarah)

Je! Unataka kudai kutoka kwa mjumbe wako kama ilivyodaiwa kwa Musa zamani? Yeyote anayechagua kutokuaamini, badala ya kuamini, amepotea kabisa njia sahihi.

[2:107] Je, hamtambui ukweli kwamba MUNGU ana milki ya mbingu na dunia; kwamba hamna yeyote isipokuwa MUNGU kama Bwana na Mtawala wenu?

[2:109] Wafuasi wengi wa maandiko wangependelea ugeuke ukakataa imani yako, sasa ulipoamini. Hii ni kutokana na wivu wao, baada ya ukweli kuwa wazi kwao. Wapishe na uwasamehe, mpaka MUNGU atoe hukumu yake. MUNGU ni Mwenye nguvu zote.