Kurani 2:20 — Ng'ombe (Al-Baqarah)
يَكادُ البَرقُ يَخطَفُ أَبصٰرَهُم ۖ كُلَّما أَضاءَ لَهُم مَشَوا فيهِ وَإِذا أَظلَمَ عَلَيهِم قاموا ۚ وَلَو شاءَ اللَّهُ لَذَهَبَ بِسَمعِهِم وَأَبصٰرِهِم ۚ إِنَّ اللَّهَ عَلىٰ كُلِّ شَيءٍ قَديرٌ
Radi yaiangamiza macho yao. Inapowapa mwanga, hupiga hatua mbele, na inapokuwa giza, husimama. Ikiwa MUNGU atataka, Anaweza kuwanyang'anya kusikia kwao na kuona kwao. MUNGU ni Mwenye Nguvu zote.
[2:19] Mfano mwingine: dhoruba ya mvua kutoka angani ambayo kuna giza, radi, na umeme. Wanaweka vidole vyao masikioni, kuepuka kifo. MUNGU anajua kabisa makafiri.
[2:21] Enyi watu, msujudieni Bwana wenu pekee—Yule aliyewaumba ninyi na wale waliokuwa kabla yenu—ili mpate kuokolewa.