Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 20:7 — T.H. (Ta Ha)

Ukiyatangaza mawazo yako (au la) Yeye anajua siri, na hata zaidi ya iliyofichika.

[20:6] Yeye ndiye mwenye kumiliki kila kitu mbinguni, ardhini, na kila kitu kilichoko kati yao, na kila kitu kilichoko chini ya ardhi.

[20:8] MUNGU: hakuna mungu mwingine ila Yeye. Kwake ndiko kuko majina mazuri zaidi.