Kurani 20:92 — T.H. (Ta Ha)
(Musa) akasema, "Ewe Haruni, ni kitu gani kilichokuzuia, ulipo waona wanapotea,
[20:91] Walionena, "Tutaendelea kuabudu hicho, mpaka Musa arudi."
[20:93] "Kwa kutozingatia maagizo yangu? Je, umeniasi na kufanya uasi dhidi yangu?"