Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 23:112 — Waumini (Al-Mu'minun)

Aliuliza, "Umeweza kuishi duniani kwa muda gani? Miaka mingapi?"

[23:111] "Nimewazawadi leo, kama malipo ya uvumilivu wao, kwa kuwafanya washindi."

[23:113] Walieleza, "Tulidumu siku moja au sehemu ya siku. Waulize wale waliyohesabu."